Haya na hili

hayawi hayawi huwa
yasiyokuwa yakawa
lililo nalo lasemwa
lajaje lipi ‘naliwa?

“yatakuwa” ni “hayaji”
yanayorundikwa haki
la leo laki hulipi
lajaje lipi ‘naliwa?

ayaimbaye kwa “njoo”
yamkute nini fujo?
limwe moja tu kidogo!
lajaje lipi ‘naliwa?

yns
2021.10.13

 

ynshen