{"id":2001,"date":"2019-11-27T22:32:51","date_gmt":"2019-11-27T21:32:51","guid":{"rendered":"http:\/\/yellingstone.info\/?p=2001"},"modified":"2021-01-31T13:15:58","modified_gmt":"2021-01-31T12:15:58","slug":"uhuru%e5%85%b3%e4%ba%8ebbi%e7%9a%84%e6%bc%94%e8%ae%b2%e5%85%a8%e6%96%87","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/yellingstone.info\/?p=2001","title":{"rendered":"Uhuru\u5173\u4e8eBBI\u7684\u6f14\u8bb2\u5168\u6587"},"content":{"rendered":"<p>2019\u5e7411\u670827\u65e5\uff0c\u5728\u5185\u7f57\u6bd5\u7684Bomas of Kenya\uff0c\u80af\u5c3c\u4e9a\u51e0\u4e4e\u6240\u6709\u7684\u653f\u6cbb\u5bb6\u90fd\u51fa\u5e2d\u4e86\u5173\u4e8eBBI\u7684\u53d1\u5e03\u4f1a\u3002\u603b\u7edfUhuru\u7684\u6f14\u8bb2\u65f6\u6700\u8fd1\u51e0\u5e74\u542c\u5230\u7684\u6700\u6709\u529b\u7684\u4e00\u6b21\u6f14\u8bf4\u3002<\/p>\n<p>\u94fe\u63a5\uff1a<a href=\"https:\/\/www.youtube.com\/watch?v=EAPOkblKFfY\">https:\/\/www.youtube.com\/watch?v=EAPOkblKFfY<\/a><\/p>\n<p>Ahsanteni wenzangu tuketi nashukuru<br \/>\nwenzengu hamjambo<br \/>\nhamjambo tena<br \/>\n(hatujambo)<br \/>\nebu tusalimiane tu tafadhali hata wale wako nje<br \/>\ntusalimiane sote<br \/>\nkama wakenya ambao wamesanyana hapa Bomas of Kenya<br \/>\nsiyo kwa sababu ya mtu<br \/>\nlakini kwa sababu yetu sisi wote<br \/>\nkaimu wa rais, mheshimiwa Raila Amolo Odinga<br \/>\nviongozi vya vyama mbalimbali za kisiasa<br \/>\nwaheshimiwa wabunge<br \/>\nmaseneta, magavana, ma-MCA<br \/>\nviongozi wa kidini, viongozi wa akina mama<br \/>\nwenzetu mabalozi ambao wamehudhuria leo<br \/>\nna haswa mgeni wangu wa kipekee siku ya leo<br \/>\nwaziri wa nchi za nje wa Tanzania<br \/>\nndugu Kabudi ambaye mimi namwita \u201eKafudhi\u201c<\/p>\n<p><!--more--><\/p>\n<p>wakenya wenzangu,<br \/>\nsiku ya leo ni simu muhimu<br \/>\nna vile nimesema, siyo siku muhimu kwangu mimi<br \/>\nlakini ni siku muhimu kwa wananchi milioni 47 wakenya wazalendo ambao<br \/>\ntwajua katika kila kona ya taifa letu la Kenya leo<br \/>\nwanaangalia runinga, wengine wako kwa maredio<br \/>\nna wote, macho yao, fikra zao,<br \/>\nziko pamoja nasi katika kongamano hii hapa Bomas<br \/>\nna ni kwa nini?<br \/>\nNi kwa sababu<br \/>\nkila mkenya pahali popote alipo, anataka kusikia<br \/>\nmambo yale ambayo yanajadiliwa hapa Bomas<br \/>\nambao tunaanzisha kujadili kama wakenya hapa Bomas of Kenya.<br \/>\nItabadilisha maisha yao ya kikawaida kwa njia gani?<br \/>\nNimeshukuru wale wote wote wote wote<br \/>\nambao wameongea siku ya leo<br \/>\nkwa maono yao na kwa kuunga mkono ya kwamba yastahili wakenya wazalendo wawe [na] nafasi<br \/>\nwawe [na] nafasi ya kuongea pamoja<br \/>\nkuhusu taabu mbalimbali, shida mbalimbali,<br \/>\nambazo zinakumba maisha yao<br \/>\nna nikiwashukuru wote ambao wameongea<br \/>\nningependa sana kumshukuru, ndugu Kabudi,<br \/>\nkwa sababu yeye ndiyo ameongea roho yangu.<br \/>\nWenzetu, kwa muda mrefu,<br \/>\ntumeamua \u2013 na sijui ni kwa nini \u2013<br \/>\ntumeamua kama wakenya ya kwamba<br \/>\nnjia ya kujadiliana pamoja ni kusimama kwa jukwa na kutoa maneno<br \/>\nsana sana na hata bila mtu kufikiria<br \/>\nkwa sababu nataka nipigiwe makofi<br \/>\ntunaelewana? Na ndipo tunaona sana sana<br \/>\najenda ya taifa inakwama<br \/>\nkwa sababu ukisimama kuongea kama kiongozi<br \/>\nwewe unajiangalia kwanza wewe mwenyewe<br \/>\nni nini nitafanya aidha nipigiwe makofi<br \/>\nama nipigiwe kura<br \/>\nama niseme kitu ingine ambayo itasaidia ule mtu karibu na mimi apigiwe kura,<br \/>\nso kama mambo ya ukabila, twasema<br \/>\nsisi wakikuyu tusema &#8220;Twaire ma m\u00fbci\u00ee (Tuongee maneno ya nyumbani)&#8221;<br \/>\nwengine wanasema tuongee yetu hiyo msiongee sana watu wasisikie lakini unajua yule ndio wetu yule.<br \/>\nmy friends,<br \/>\ntumekosa kuongea kama jamii moja ya baba na mama wazalendo wa Kenya.<br \/>\nsiku ya leo tuko hapa<br \/>\nkwa sababu &#8211; na ni vizuri kurudi nyuma si kweli &#8211;<br \/>\nkwa sababu baada ya uchaguzi wa 2017 kulitokea matatizo<br \/>\nna kwa ukweli kama rais mimi ningesema nimeshinda<br \/>\nna nitatawala, na hakuna mtu angenizuia jameni kwa sababu ukila kiapo, tosha gari, twende mbele<br \/>\nna hiyo ndiyo ukweli,<br \/>\nkwa lakini, taifa hii letu lilikuwa na mgawanyiko katikati<br \/>\nkuna sehemu zingine tuseme mji wetu mjuu wa Nairobi<br \/>\nukiwa kabila hili, ukikanyanga au ukiingia, ni mawe<br \/>\nmnajua watu wanasahau ukiingia upande mwingine, ni taabu.<br \/>\nkiosk yako inachomwa,<br \/>\nmama mboga zake zakanyangwa<br \/>\njameni, dunia yetu ilikuwa imejaa hofu<br \/>\nukitembea barabara kwanza lazima ujipange<br \/>\nutapitia wapi ehee ehee ehee<br \/>\nati ndio ufike pahali ambapo ulikuwa unaenda<br \/>\nthese are the truths<br \/>\nkwingine, watu wanasema<br \/>\nhuyu ni rais, huyu mwingine mimi sijui huyu<br \/>\nni namna hii ni namna hii<br \/>\nwafanyibiashara ndio hofu<br \/>\nhakuna mtu anataka kuendelesha biashara zake<br \/>\nkwa sababu unajiuliza: &#8220;kesho tutakuwa namna gani?&#8221;<br \/>\nna ndipo tukaonelea.<br \/>\njameni, that is not a life.<br \/>\nhatukuchaguliwa kwa sababu yetu sisi,<br \/>\ntulichaguliwa kwa sababu ya maslahi ya wale sasa wamejazwa na hofu maishani mwao<br \/>\nna ni jukumu letu kama viongozi tuje pamoja<br \/>\nsiku ya leo, na nimesema hapo awali tena,<br \/>\nnataka kumshukuru ndugu yangu mheshimiwa Raila Odinga<br \/>\nkwa sababu, kukutana kwetu mara ya kwanza, he, haikuwa kitu rahisi<br \/>\nkila mtu pia, hiyo hofu mlikuwa naye, hata sisi tulikuwa naye pia<br \/>\nhuyu mtu, tulikutana naye tutaambiana nini?<br \/>\ntutasema nini?<br \/>\nna kwa ukweli wakati tulikutana tulikunywa chai karibu dakika 45 hakuna mtu anaongea<br \/>\ntunakunywa tu chai &#8211; ehee<br \/>\n&#8220;habari za nyumbani&#8221; &#8220;sawa&#8221; ehee<br \/>\n&#8220;habari ya mama&#8221; &#8220;haa, ako tu&#8221; ehee<br \/>\n&#8220;habari ya watoto&#8221; &#8220;haya, wanasoma, wanaendelea&#8221; ehee hee hee<br \/>\nhakuna hakuna hakuna maneno ingine yanaweza kutoka, eh?<br \/>\nkwa sababu ya hasira ya yale ambaye tulikuwa tunarushania huko mbele<br \/>\nbaada ya saa moja hivi sasa jameni ndipo sasa watu kuangaliana hapa tumejifungia ni sisi wawili tu<br \/>\nndio mambo ikaanza karibu tulale huko sasa<br \/>\nna tukasema kitu kimoja wakati tulimaliza<br \/>\ntukasema, tofauti zetu siyo kubwa vile<br \/>\nmashindano ndiyo inatuletea shida hii yote<br \/>\nkwa sababu fikra siyo tofauti<br \/>\nna ndipo tukasema jameni wacha tuketi hata tuwache uchaguzi huu wa 2017<br \/>\nwacha turudi nyuma, ni kwa nini baada ya kila miaka mitano<br \/>\nwananchi wa Kenya lazima wapigane<br \/>\nlazima tumwage damu<br \/>\nlazima mali iharibiwe<br \/>\nlazima biashara zisimame<br \/>\nlazima hofu iingie wa wakenya<br \/>\nna tukasema turudiiii nyumaaa na tujiulize<br \/>\nhuu ndio ulikuwa mwanzo wa BBI<br \/>\nna tukasema, huu uchaguzi wa 2017 sio wa mbele, na sio wa mwisho<br \/>\nbado utakuwa na uchaguzi mwingine kwa sababu<br \/>\nKenya ni nchi democratic<br \/>\nKenya ni nchi ambaye tuna demokrasia<br \/>\nbado itakuwa na uchaguzi<br \/>\nkwa hivyo jambo muhimu yetu sisi kama viongozi<br \/>\nni kwanza tuwache kofia zetu za kisiasa<br \/>\ntuwache kofia zetu za vyama vyetu<br \/>\nna tujiulize ni nini inasababisha tupigane<br \/>\nna ndio turekebishe mambo haya<br \/>\ntuweze kuhakikisha ya kwamba<br \/>\nkwa sababu uchaguzi bado utakuja<br \/>\nya kwamba tutaweza kufanya uchaguzi katika taifa letu la Kenya bila umwagikaji wa damu<br \/>\nbila uharibifu wa mali,<br \/>\nbila hofu kwa wananchi<br \/>\nna hiyo ikawa lengo letu kubwa<br \/>\nsasa, taabu unajua siasa<br \/>\nukishikana na mwazako, mwingine anasema hawa wana&#8230; wanapanga nini?<br \/>\nhee? ndio wanaambia hii sisi wanasiasa ndio chafu ya nchi hii<br \/>\nwanapanga nini?<br \/>\nsasa unaona?<br \/>\nmwingine sasa hee wale sasa wako na njama.<br \/>\nna Kiraitu mwenyewe amesema hapa sijui kama anajua vile alikuwa anasema hee?<br \/>\nunaona wale wali&#8230; hata sisi wacha sisi tukutane na sisi tujipange, sisi tuwe na story yetu<br \/>\nna wengi wakasahau na ningependa leo kuwakumbusha wenzangu wakenya<br \/>\nya kwamba vita ya 2017 na au shida ya 2017 siyo ya kwanza<br \/>\nwenzetu 20&#8230; ehm&#8230; 1992 tulipigana<br \/>\nwenzetu 1997 tulipigana<br \/>\nwenzetu 2002 muungwana ambaye anaitwa Uhuru Kenyatta<br \/>\nhata mbele kura kuisha<br \/>\nakasema nimekubali nimeshindwa tukawa na amani<br \/>\ntukumbuke tukumbuke<br \/>\nkwa sababu tunasahau<br \/>\nna ambaye anasahau hajui tena anarudia makosa<br \/>\ntukuje 2007 tukapigana<br \/>\njameni tukapigana mpaka mimi mww&#8230;<br \/>\nkwanza mimi nimekuwa nimepelekwa kwa wazungu<br \/>\nhuko kwa sababu ilikuwa inasemekana kwamba<br \/>\nhuyu ni mtu ambaye anataka kufungiwa huko&#8230;<br \/>\nanyway, hiyo ni story ingine.<br \/>\nna sana sana wengine wakasahau pia ya kwamba 2010<br \/>\nnikaenda nikatafuta ndugu yangu pia William Ruto<br \/>\nheya, nikawambia sasa jameni hii na watu wetu wanaumia.<br \/>\nnikaenda nikamshika mkono, akanishika mkono<br \/>\ntukasema hatuwezi kuendelea namna hii<br \/>\nna tukawa na amani<br \/>\nna hiyo hiyo ndiyo nia yangu na ndugu yangu mheshimiwa Raila Amolo Odinga<br \/>\ntushikane mkono, ndiyo tuwe na amani<br \/>\nlakini taabu ya siasa, wenzangu ni ya kwamba<br \/>\nukishika huyu, yule mwingine anakusema ni adui<br \/>\nukishika huyu sasa, yule mwingine ni adui<br \/>\nach, let us now be mature, ya?<br \/>\nlet us now be mature.<br \/>\nAnd I appeal especially to the political class.<br \/>\ndon&#8217;t divide these people, they don&#8217;t deserve it.<br \/>\nwe are here talking about maslahi yao.<br \/>\nwe are here talking about their peace<br \/>\nand once we assure them and we give them an enabling environment,<br \/>\nthese 47 million people are mature enough to elect the leaders that they want<br \/>\nours is to enable them to do so<br \/>\nand to respect their wishes<br \/>\nthis is not a time<br \/>\nthis one versus that one<br \/>\nthere will come that time<br \/>\nna hawa na wale wengine wanatuangalia kwa runinga<br \/>\nna wale ambao wanasikiza kwa redio<br \/>\nna wale ambao wako kwa maofisi zao<br \/>\nna wale ambao wako mashambani<br \/>\nsiku ikifika, wakenya sio wajinga, wataamua<br \/>\nyetu sisi si kuja kuleta mgawanyiko kati yao<br \/>\nwacha tuwatengenezee shida zao<br \/>\ntutengeneze shida za kisiasa<br \/>\nkwa sababu kwa ukweli taabu moja katika siasa zetu ni kwamba<br \/>\ntukiingia mashindano<br \/>\nwale ambao wanashinda, tunasema tumeshinda<br \/>\nwale ambao wameshindwa, wanasema sasa sisi tuko wapi<br \/>\nhiyo ndiyo kitu inaleta shida<br \/>\nso, lazima tutafute system sisi kama wakenya<br \/>\nya kuhakikisha ya kwamba kila mkenya atajisikia yeye ni mshindi<br \/>\nau ni namna gani mwenzangu<br \/>\nkila mkenya pahali alipo ajisikie yeye ni mshindi<br \/>\ntutengeneze hii nchi ya kwamba twaweza twende tupige kura<br \/>\nmtu anarudi nyumbani, anapumzika na watoto wake<br \/>\nanapumzika na ndugu zake<br \/>\nanangojea matokeo<br \/>\nakijua yeye pahali amepiga<br \/>\nlakini akijua pia yule amepigia akishindwa<br \/>\nanasema ach, tse tulijaribu lakini tumeshindwa<br \/>\nlakini kwa roho yake anajua ya kwamba<br \/>\nhata yule ambaye ameshinda<br \/>\nhatakuja kumnyang&#8217;anya shamba yake<br \/>\nhana uwezo ya kumkosesha kazi<br \/>\nhana uwezo ya kumnyima pesa zake na haki yake<br \/>\nhana uwezo ya kusimamisha madawa kwa hospitali yake<br \/>\nanasema nitangojea miaka ingine mitano tushindane tena hamna shida.<br \/>\nSo that we differ on policies my friend<br \/>\nwe don&#8217;t differ on who has won<br \/>\nati huyu akishinda wale wengine wanasema<br \/>\nahh huyo siyo rais wangu, eh?<br \/>\nhuyo siyo mheshimiwa wangu<br \/>\nhuyo siyo seneta wangu<br \/>\nhuyo siyo gavana wangu<br \/>\nhuyo ni wako<br \/>\ntunataka yule ambaye atashinda ni kiongozi wa wote<br \/>\nwaliompigia na wale ambao hawakumpigia<br \/>\nturekebishe hiyo, jameni wenzangu<br \/>\nna hiyo siyo taabu<br \/>\nna hiyo siyo inataka<br \/>\nlet us talk about it and find out<br \/>\nwhat it that that we can do to make sure<br \/>\nthat the resultant, product of an election is inclusive and nobody feels left behind.<br \/>\nnobody feels left behind<br \/>\nkura ni siri, kura ni siri<br \/>\nkulingana na maono ya wananchi<br \/>\nna kulingana na maneno ya wale ambao wanatafuta kura<br \/>\nwe shouldn&#8217;t force each other that we must accept<br \/>\nmimi ni mkikuyu lazima nimpigie mkikuyu<br \/>\nmimi ni mkalenjin aaahh huyo ndiyo mtu yangu<br \/>\nmimi ni mjaluo baba akisema tumesema, hapanaaa, hapanaa<br \/>\nsiku ambaye tutajua tumeshinda<br \/>\nni siku ambayo kama Raila anatafuta kiti<br \/>\naende Kiambu na apewe kura kabisa<br \/>\nkama ni Ruto atafuta kiti<br \/>\naende mpaka Siaya na apatiwe kwa sababu ya yale amesema<br \/>\nhay jameni<br \/>\nkuna story nimerudia na nitarudia leo<br \/>\nwengine wanakasirika nikisema, lakini siyo&#8230;<br \/>\nmi nasema kwa roho safi<br \/>\nkwa sababu hiyo ndiyo furaha yangu, unaona<br \/>\nkutoka tushikane mkono na baba, mi.. hey..<br \/>\njuzi tulikuwa na uchaguzi Kibera.<br \/>\nsi ni kweli?<br \/>\nna mimi mnajua ndiyo kiongozi wa Jubilee,<br \/>\nna mimi nilikuwa na candidate<br \/>\nna tumesaidia candidate wetu kabisa,<br \/>\nsi ni hivyo? ya?<br \/>\nsasa, kampeni ilikuwa moto, na zilikuwa zimechacha<br \/>\nhata nyinyi, mlikuwa mnajionea kila siku<br \/>\nhii hee, hii hee,<br \/>\nkampeni zilichacha, kweli ama siyo kweli?<br \/>\neh demokrasia ilikuwa imewaka moto Kibera.<br \/>\nsasa mimi nasema, kweli kulikuwa vurugu kidogo kidogo<br \/>\nlakini ukiangalia ni viongozi walikuwa wanalimana na mawe,<br \/>\nhawa wanaweza kwenda Nairobi Hospital.<br \/>\nhe?<br \/>\nmwananchi alikuwa anaruka mkutano hii, anaenda hii<br \/>\nsasa nimekuwa naambia wengine &#8220;usiku ya kuhesabu kura&#8221;<br \/>\nkuna mama mwingine rafiki yangu nilikuwa naongea na yeye ali&#8230; ni Campaigner wangu<br \/>\nsasa, nikampigia nikamuuliza &#8220;hali huko&#8230;?&#8221;<br \/>\nunajua sana sana hali huko wakati ya uchaguzi ilikuwa tension juu<br \/>\nnikamuuliza &#8220;hali iko namna gani? mko sawa?&#8221;<br \/>\nah, akaniambia &#8220;sisi tuko sawa, lakini<br \/>\nhapa Kibera, ni kilio peke yake.&#8221;<br \/>\nnikamuuliza, &#8220;eh, kilio? kwani kuna shida gani?&#8221;<br \/>\nakaniambia, &#8220;ahh, jameni, Uhunye we.<br \/>\nmngeruhusu hii kampeni iendelee wiki ingine mbili.<br \/>\njameni tukule mambo hapa mambo ilikuwa mingi huku.<br \/>\n(mcheko kwa muda mrefu)<br \/>\nkwa nini nyinyi mmefunga hii kamp&#8230;<br \/>\ntungeendelea wiki ingine mbili&#8221; eeh?<br \/>\nsasa, kesho yake kuchukua ripoti zile nachuanga asubuhi<br \/>\nnikaambiwa hee mambo Kibera namna gani?<br \/>\nnikaambiwa hee askari wale wote walikuwa wamesimamia uchaguzi wote wamerudi kwao<br \/>\nwatu leo.. kila mtu ameelekea kwake kazi<br \/>\nmama ambaye alikuwa anatandika ndizi zake, ametandika<br \/>\nwa kupika samaki ameanza<br \/>\nharufu ya samaki sasa inasikika huko<br \/>\nmbeleni ilikuwa nyama kwa sababu pesa ilikuwa mingi<br \/>\nsasa ni samaki<br \/>\n(mcheko kwa muda)<br \/>\nhehe, hakuna kiosk ilikuwa imechomwa<br \/>\nhakuna mtu ambaye alikuwa hospitali<br \/>\ndunia ilikuwa imerudi<br \/>\nnikasema jameni<br \/>\nhata kama candidate wangu ameshindwa Kenya imeshinda<br \/>\n(makofi)<br \/>\nna hivyo jameni ndivyo twataka taifa letu liwe<br \/>\nhivyo ndivyo twataka taifa letu liwe<br \/>\nna hiyo ndiyo mimi nasema<br \/>\nyale ambao wametupatia wenzetu, wazee hawa wakiongozwa na mzee Yussuf Haji<br \/>\nmambo haya ndiyo tunataka tujadiliane pamoja<br \/>\nHow can we maintain this peace?<br \/>\nHow can we entreanch this peace?<br \/>\nHow can we&#8230; na ndipo nasema kwa sababu siyo tu mambo ya kisiasa<br \/>\ntuangalie kindani ni nini inatukula<br \/>\ntukisema twataka maendeleo<br \/>\nebu tuangalieni jameni<br \/>\nmaendeleo na umaskini ni mwingi<br \/>\nmaendeleo yako, umaskini ni mwingi<br \/>\nmaendeleo iko, umaskini bado uko<br \/>\nso lazima tujiulize ni nini inakula<br \/>\nwhat is eating the other one?<br \/>\nna kitu kimoja mimi naweza nisema hapa, tuseme kwa ukweli<br \/>\nhaswa tena tukiwa mji mkuu wa Nairobi<br \/>\nukianglia dokument zote za serikali<br \/>\nzote za serikali zasema ya kwamba<br \/>\nmji ambao ndio tajiri ama jimbo ambalo ndiyo tajiri katika taifa la Kenya ni Nairobi<br \/>\nkweli ama siyo kweli?<br \/>\nndiyo jimbo ambalo lina utajiri mwingi katika taifa letu la Kenya<br \/>\nna kwa hivyo hata kwa allocation ya ma-resources,<br \/>\nNairobi inapata pesa kidogo sana<br \/>\nkulingana na umati wa wananchi ambao wanaishi katika huu mji.<br \/>\nlakini kuna kitu tumesahau sisi kama wakenya<br \/>\nhata kama huu utajiri uko hapa Nairobi<br \/>\nuko mikononi ya watu ngapi?<br \/>\nhiyo ni swali lazima tujiulize kweli ama siyo kweli?<br \/>\nhuu mji ambao unasemekana ndio tajiri tuna wenzetu<br \/>\nambao waamka kila siku kwenda kutafuta kibarua ya shilingi 150<br \/>\nkila siku, na hajui kama atapata, huyu ni tajiri?<br \/>\nkwa huu mji, tuko na wenzetu ambao hana maji&#8230; hawana maji safi ya kunywa.<br \/>\nkatika huu mji, tuko na wenzetu ambao wanaenda choo kupitia makaratasi<br \/>\nmji tajiri<br \/>\nhii Nairobi, tuko na watoto ambao hawana nafasi katika mashule ya highschool<br \/>\nhata uniform watoto hawana<br \/>\nis this a rich county?<br \/>\nso we must look at that and ask ourselves<br \/>\nhow are we using our resources?<br \/>\nand are our resources going to the people?<br \/>\nor are they going the leaders?<br \/>\nwe must ask and adress ourselves, otherwise kwa ukweli tutamaliza hiyo umaskini Kenya hii?<br \/>\ntutakuwa tu tunasema tunaendelea<br \/>\ntuko na maendeleo lakini maendeleo hiyo haigusi kila mwananchi<br \/>\nagain, that is what leads to&#8230; animousity, tension and anger because&#8230;<br \/>\npeople feel they are excluded from the development that we are talking of.<br \/>\nsasa jameni hiyo kitu haina mambo ya kutusiana hapa na hapa<br \/>\nni tukae tuseme this is the way we do<br \/>\nand I&#8217;m sure in every single county in this country<br \/>\nthere are pockets that are wealthy and there are pockets that are very poor<br \/>\nhow do we make sure that resources are matched to needs<br \/>\nhow do we make sure &#8230;<br \/>\nthat is the question surely we can discuss and talk about<br \/>\nthat is nothing there to disagree about<br \/>\nwenzetu, fairer representation let us discuss it<br \/>\nso that we have an environment where everybody feels that they are represented by their respective leaders<br \/>\nand if we resolve this and many more things<br \/>\nlike what is afflicting our young people<br \/>\nhow can we create more jobs<br \/>\nnilisoma kidogo jana wakisema tuongeze pesa ambazo tunaweka katika ma-SMEs katika biashara dogodogo<br \/>\nkwa sababu hapo ndipo wananchi wengi wako<br \/>\nndiyo tuweze kuinua hali ya uchumi it&#8217;s a good proposal friends<br \/>\nlet us work on this together<br \/>\nhii nchi siyo nchi ya mashindano kati ya matajiri ati na maskini<br \/>\nhii ni nchi yetu sisi wote and we must come together<br \/>\nna ndipo nasema saa zingine wanasikia huyu anasema<br \/>\noh wale wako namna hii<br \/>\nwale wako namna hii<br \/>\nwale wako namna hii<br \/>\nunajua sasa eh?<br \/>\nkwa sababu huyu rais ametoka hapo mali yote imeenda huko<br \/>\nkwa sababu rais ametoka&#8230; hakuna kitu kama hiyo.<br \/>\nrais ni rais wa wananchi milioni 47 na hiyo ndiyo inatakikana<br \/>\nna ndiyo twasema ikiwa ni bunge la taifa iwe ni bunge la kitaifa<br \/>\ntuache mambo ya maendeleo mashinani magavanas na ma-MCAs waende wafanye kazi ya mashinani, he!<br \/>\nI don&#8217;t think that is a problem.<br \/>\nna sisi tutengue masheria ni masheria gani ambaye inazuia wakenya kukua?<br \/>\nhiyo ndiyo kazi yetu hapa Nairobi.<br \/>\nhiyo ndiyo kazi yetu hapa Nairobi.<br \/>\nkule mashinani tuache wananchi wajue maji na mfereji inatakikana wapi<br \/>\neeh, laini ya stima ni wapi ambaye inakosea<br \/>\nkabarabara gani&#8230; kanataka kutengenezwa huko<br \/>\ntunaelewana wenzangu?<br \/>\ntunataka kujiuliza ni kwa nini baada ya kila miaka mitano<br \/>\ntunaenda miaka mitatu ya kazi<br \/>\nmiaka ya mbili tunapoteza kwa sababu siasa imechacha<br \/>\ntunataka tuulize wafanyibiashara wetu wenzetu ni nini inawazuia?<br \/>\nni nini twaweza kufanya ndiyo tuhakikishe ya kwamba<br \/>\nbiashara zenu hazisimami<br \/>\nhakuna taifa ambaye inaweza kuwa na mipangilio ya maendeleo ambaye itabadilisha maisha ya wananchi ikiwa mipangilio yetu ni ya miaka mitano.<br \/>\nlazima tuwe na mipangilio ya miaka ishirini.<br \/>\nhaiwezi kuwa ati miaka mitano sasa tena hofu. hapana.<br \/>\nwe must have development plans that are twenty years plus.<br \/>\nif we have to resolve our problems my brothers and sisters au ni namna gani wenzangu? eh?<br \/>\nna lazima tusema ya kwamba tunataka siasa ambazo zinatoa hizo hofu kwa wananchi<br \/>\nna ndio wafanyibiashara wetu waweze kupanga wakienda mbele.<br \/>\ntunataka hizo siasa ambazo zitawezesha<br \/>\nsasa siku hizi kwa Kenya huwezi kupata mkopo ndiyo nilikuwa naambia watu jana<br \/>\nwewe huwezi kupata mkopo wa zaidi ya miaka tano.<br \/>\nsana sana ni mkopo wa mwaka mmoja mwaka mmoja na &#8230; mbili<br \/>\neh? sasa ni biashara gani itarudisha pesa na miaka mbili ama ni kweli ni biashara ambaye itakua.<br \/>\nlakini, mwenye kukopesha anasema &#8220;Aiyee, hii dunia hii mimi wache nipate yangu nitakopesha miaka miwili ningojee kwanza hiyo uchaguzi itakuwa namna gani.&#8221;<br \/>\ntunataka tuwapatie assurance ya kwamba wanaweza kupatia wananchi mikopo ya miaka kumi, ya miaka na tano<br \/>\nkwa sababu they have confidence ya kwamba Kenya will be stable and Kenya will have always leadership whoever it is<br \/>\nthat will live within the rule of law<br \/>\nand that will respect their rights of all of our people<br \/>\nthen we are moving forward<br \/>\ntunataka tuheshimiane kama makabila<br \/>\nya kwamba kila mtu mkenya awe ako na uhuru wa kuwa pahali popote katika taifa hii letu la Kenya<br \/>\nna asisikie ya kwamba eh uchaguzi unakaribia<br \/>\nwacha sasa nipange virago ati nirudi kule nilizaliwa nitarudi tena uchaguzi ukiisha<br \/>\nwe don&#8217;t want to live like that<br \/>\nwe want to live in a manner in which we can program ourselves<br \/>\nna ndipo mimi nawauliza haswa nataka kurudia tena<br \/>\nviongiz wenzangu tafadhalini<br \/>\nambition, ambition, personal ambition &#8230; is not bado<br \/>\nit&#8217;s a healthy thing<br \/>\nwe all want to be ambitious because we are desirous<br \/>\nwe want to power<br \/>\nwe want to be MPs<br \/>\nwe want to be presidents<br \/>\nwe want to be governors<br \/>\nwe want to be all of these things<br \/>\nambition is good<br \/>\njust like people are ambitious who those in business<br \/>\nthey want to be ambitious and to see how their business grows<br \/>\nbut I pray and I appeal to you today<br \/>\ndon&#8217;t let those ambitions of yours<br \/>\novershadow our ability to fix those things that will help you to achieve your ambitions. ehm?<br \/>\nhii hapa hatuongei juu ya mtu.<br \/>\nkwa sababu Mungu mwenyewe ndiye anaijua ile iko ndani ya roho ya kila mkenya<br \/>\nna yeye ndiyo tayari hata sasa tukiwa hapa yeye pekee ndiyo anajua rais wa tano wa jamhuri ya Kenya ni nani.<br \/>\nhakuna mwingine anajua<br \/>\nkwa nini sasa tumalizane hapa kwa sababu ya mambo ambaye hatuelewi<br \/>\nsi turekebishe yale Mungu ametuwezesha turekebishe<br \/>\nhiyo ingine wakati wake ukifika<br \/>\ntwaona tu kama ile ilikuwa juzi, huyu hee hu..<br \/>\nna tujue inafanyika wacha wananchi wakule mali wafurahie<br \/>\nwasikie maneno ya watu watachagua ama niaje wenzangu?<br \/>\nama niaje?<br \/>\nsi ni hapo?<br \/>\nkwa nini twaz&#8230;<br \/>\nsasa ni kutengeneza uwanja tunatengeneza<br \/>\nni kutengeneza tunatengeneza kusafisha &#8230; eh?<br \/>\nndiyo wachezaji wakuje baadaye<br \/>\nwawe wamepata kiwanja&#8230;  ni safi, eh?<br \/>\nna wakenya sasa wanangojea mifuko ifunguke<br \/>\nna wakenya wanaheshimiana ikiwa ni Kibera wanaulizana<br \/>\nsasa wewe ujue wewe ukipanga upande hiyo ili utapata<br \/>\nujue jioni tutakutana kwa mama Njeri<br \/>\nwewe ulete nusu mimi nikuambie ile tulipata leo<br \/>\nhiyo ndiyo siasa tunataka, ehh?<br \/>\nmama Acheng anajua ya kwamba stoki ya samaki sasa mwezi huu lazima niongeze eh?<br \/>\nkwa sababu kazi itakuwa safi eh?<br \/>\nna biashara ni nono lakini<br \/>\nhaongozwi ni hofu ako na imani ya kwamba<br \/>\nkatika wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi<br \/>\nmama Atieno mama Chelagat mama Njeri wote wanajua<br \/>\nwe are safe<br \/>\nwe have nothing to fear<br \/>\nwe shall wake up in the morning, vote, go back,<br \/>\nand continue our business and life will continue<br \/>\nI believe that is what each and everyone of you is desiring, au ni namna gani?<br \/>\nna ndipo niwasihi wenzangu someni hii kitabu<br \/>\nsomeni kila mmoja<br \/>\nlete maono yako<br \/>\nambaye unafikiria inaweza kuchangia na kuongeza zaidi yale ambao hawa wazee wametuletea<br \/>\nnajua Junet amesema ati anangojea baba asome<br \/>\nwewe Junet usiharibu watu bwana.<br \/>\nbaba atasoma na atatoa maoni yake<br \/>\nhata Uhuru atasoma na atatoa yake<br \/>\nwacha watu pia wasome na watoe yao<br \/>\nyetu ni kupokea maoni ya hiyo watu yote na tuweke pamoja<br \/>\nna yule mtu ambaye pia ningeshukuru nimependa<br \/>\npia vile ndugu yangu James ambaye ako na deni yangu<br \/>\nee amesema ya kwamba wakenya ni rahisi sana siyo ngumu<br \/>\nni rahisi sana kupata kitu ambacho tuko na tofauti kati yetu<br \/>\nhiyo siyo ngumu<br \/>\nni ngumu zaidi kutafuta yale ambaye yataweza kutuunganisha<br \/>\nwenzetu Kenya hii hatutaitengeneza na siku moja<br \/>\nlet us not to waste our time and our effort on those things that divide us<br \/>\nbut let us create and put our energies to those things that put us together<br \/>\nso that those things that maybe we don&#8217;t agree on<br \/>\nwe can put them to the people in an election<br \/>\nin a peacefull manner and the people can choose<br \/>\nbetween this idea and that idea<br \/>\nbetween this policy and that policy<br \/>\nthat is why democracy strive<br \/>\nlet us focus ourselves on that which puts us together<br \/>\nlet us focus ourselves on those things that will make sure<br \/>\nwe are more cohesive as a society<br \/>\nas the foreign minister of Tanzania has told us here<br \/>\nlet us focus on those things that remove ethnicity and the sting of negative ethnicity<br \/>\nI am very proud of our culture, very proud of it<br \/>\nand I think we should be proud that as a country, we have 42 different, if not 46 now.<br \/>\ndifferent cultures that we should be proud of that we can learn about<br \/>\nlakini, tusi-allow those wonderful, positive things about our culture<br \/>\nto be used and to be turned into instruments and weapons<br \/>\nof hatred and division<br \/>\ntunaelewana?<br \/>\ntunaelewana wenzangu?<br \/>\nhii tujivunie ukenya wetu, tujivunie utamaduni wetu, tujivunie lugha zetu<br \/>\nlakini, tusizitumie kwa njia ya kuweka chuki na mgawanyiko kati ya wananchi wetu<br \/>\nna ndipo mimi kama kuna kitu ingine hapo mimi nimeunga mkono<br \/>\nwajua tukienda Krismasi kwa muda huu wote<br \/>\ntunasherehekea siku yetu muhimu siku ya kuzaliwa kwa Yesu Kristu<br \/>\nlakini sisi wote pia tunajua ya kwamba siku ile inafuata pia ni&#8230; ni holiday.<br \/>\nna tunaita boxing-day<br \/>\nna hakuna mtu mmoja hapa nataka mmoja ainue mkono aniambie boxing-day ni kumaanisha nini<br \/>\nboxing-day ni wakati wazungu wakati wanapatiana mazawadi zawadi wakati ya Krismasi<br \/>\nwanaenda kufungua ma-box kujua mtu amepatiwa nini kufungua &#8230;<br \/>\nsasa sisi hiyo siyo utamaduni yetu hiyo ni ya wazungu jameni<br \/>\nau ni namna gani?<br \/>\nso, mimi sioni ubaya jameni<br \/>\ntukisherehekea siku ya kuzaliwa Mwokozi wetu Yesu Kristu<br \/>\nna siku hiyo ingine tusherehekee utamaduni wetu kama wakenya<br \/>\nkwa sababu hiyo ni kitu that is Kenyan<br \/>\nso safari moja mtu ametoka upande ya Busia<br \/>\nanaweza kuambia jamii njooni hii siku tutembee Kisumu<br \/>\ntukaone utamaduni wa watu wa Kisumu<br \/>\nmtu ya Kisumu ametoka hapo<br \/>\naseme mimi nataka kwenda mlimani kule Nyeri<br \/>\nnikaone utamaduni huko na hawa wanaishi namna gani<br \/>\nmtu wa Nyeri atoke hapo aende Mandera<br \/>\naone hiyo watu upande wa Mandera<br \/>\nutamaduni wao uko namna gani<br \/>\nmtu mmasaai atoke hapo aende kule baharini<br \/>\namezoea ng&#8217;ombe sasa aone samaki kubwa wanawala watu huko, eh?<br \/>\ntunaelewana?<br \/>\nlet us celebrate now those beautiful and wonderful things<br \/>\nthat are great about our culture.<br \/>\nand I promise you we will have a great country<br \/>\nwe will have a firmer country<br \/>\nand as my brother Raila has said<br \/>\nthis is not about Uhuru<br \/>\nthis is not about Raila<br \/>\nthis is not about Ruto<br \/>\nthis is not about Kalonzo<br \/>\nthis is not about Mudavadi<br \/>\nthis is not about Wetang&#8217;ula<br \/>\nthis is not about any of those leaders<br \/>\nthis is about you and me<br \/>\nas Kenyan citizens<br \/>\nwenzangu, tuende, tusome, tujadiliane kati yetu mwezi huu<br \/>\nambapo tunaelekea siku kuu<br \/>\ntutafute nafasi labda mwanzo wa mwaka u&#8230; mpya<br \/>\ntuje tukae tuone hiyo maoni<br \/>\nna ndio mimi nasema<br \/>\nlet us own it mashinani<br \/>\nlet us own it at the grassroot<br \/>\nsi ni hivyo wenzangu<br \/>\nlet us own it at the grassroot<br \/>\nlet it not be niliambiwa na Uhuru<br \/>\nmimi na bibi yangu na watoto wangu<br \/>\nna jirani wangu tumeketi tumeongea tumeona<br \/>\nhii na hivyo ndivyo tungependa dunia yetu iishi<br \/>\nni wangapi wanakubaliana na mimi jameni<br \/>\ntunakubaliana? tutatembea pamoja kama wakenya?<br \/>\nndugu waheshimiwa, na waheshimiwa ma-MCA<br \/>\njameni tumekubaliana ya kwamba<br \/>\nhii sijui Tangatanga, sijui Kieleweke<br \/>\nsijui warembo na huyu, na warembo na yule<br \/>\ntuachane sasa ni warembo wa Kenya<br \/>\nna viongozi wa Kenya<br \/>\nwakifanya kazi pamo&#8230;<br \/>\n(mwitiko: pamoja)<br \/>\n&#8230; ja, au ni namna gani?<br \/>\nsi ni hivyo?<br \/>\ntumekubaliana jameni tutatembea hivyo<br \/>\ntu&#8230; tujadiliane halafu tuje tukutane hapo baadaye<br \/>\ntuone hiyo maono yooote na tukubaliane barabara ambaye tutatembea<br \/>\nmimi nasema Mungu abariki jameni<br \/>\n(makofi)<br \/>\nsiku ya leo twasema<br \/>\nhongera kwa akina mama<br \/>\nkongole kwa wazee<br \/>\nna hiyo ingine ilikuwa gani? (akamgeukia mwingine)<br \/>\nna pongezi kwa wote<br \/>\nMungu awabariki na walinde, asanteni sana! kwa heri ya kuonana!<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>2019\u5e7411\u670827\u65e5\uff0c\u5728\u5185\u7f57\u6bd5\u7684Bomas of Kenya\uff0c\u80af\u5c3c\u4e9a\u51e0\u4e4e\u6240\u6709\u7684\u653f\u6cbb\u5bb6\u90fd\u51fa\u5e2d\u4e86\u5173\u4e8eBBI\u7684\u53d1\u5e03\u4f1a\u3002\u603b\u7edfUhuru\u7684\u6f14\u8bb2\u65f6\u6700\u8fd1\u51e0\u5e74\u542c\u5230\u7684\u6700\u6709\u529b\u7684\u4e00\u6b21\u6f14\u8bf4\u3002 \u94fe\u63a5\uff1ahttps:\/\/www.youtube.com\/watch?v=EAPOkblKFfY Ahsanteni wenzangu tuketi nashukuru wenzengu hamjambo hamjambo tena (hatujambo) ebu tusalimiane tu tafadhali hata wale wako nje tusalimiane sote kama wakenya ambao wamesanyana hapa Bomas of Kenya siyo kwa sababu ya mtu lakini kwa sababu yetu sisi wote kaimu wa rais, mheshimiwa Raila Amolo Odinga viongozi vya vyama mbalimbali za kisiasa <a class=\"read-more\" href=\"http:\/\/yellingstone.info\/?p=2001\">&hellip;&nbsp;<span class=\"meta-nav\">&rarr;<\/span><\/a><\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":[],"categories":[1],"tags":[],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2001"}],"collection":[{"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=2001"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2001\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=2001"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=2001"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=2001"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}