{"id":2479,"date":"2021-05-04T21:32:45","date_gmt":"2021-05-04T19:32:45","guid":{"rendered":"http:\/\/yellingstone.info\/?p=2479"},"modified":"2021-05-14T12:59:29","modified_gmt":"2021-05-14T10:59:29","slug":"makavazi-hotuba-ya-samia-suluhu-nairobi-ziarani-kenya","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/yellingstone.info\/?p=2479","title":{"rendered":"[Makavazi] Hotuba na Samia Suluhu Nairobi, ziarani Kenya"},"content":{"rendered":"<p>2021\/05\/04 Nairobi<\/p>\n<p>\u4e0b\u8f7d\uff1a<a href=\"https:\/\/www.youtube.com\/watch?v=q-flDoonMdY\">\u5899\u5916<\/a><\/p>\n<p>|Nakushukuru Mh. Rais.<br \/>\n| Mh. Rais Uhuru Kenyatta wa\u00a0 Jamhuri ya Kenya<br \/>\n| waheshimiwa viongozi wa Tanzania na Kenya mliopo hapa<br \/>\n| ndugu wanahabari, mabibi na mabwana<br \/>\n| nianze kwanza kumshukuru kaka yangu Rais Kenyatta<br \/>\n| kwa kunialika kuja kutembelea nchini kwake<!--more-->| Nakushukuru pia kwa makaribisho mazuri<br \/>\n| niliyopata mimi pamoja na liliyofuatana nayo<br \/>\n| toka tumetoka airport, mpaka tunaingia Ikulu<br \/>\n| tumepokewa vizuri sana njiani<br \/>\n| Mheshimiwa na ndugu wanahabari niseme kwamba<br \/>\n| muda mfupi uliopita tumetoka kufanya mazungumzo na Mh. Rais Uhuri Kenyatta<br \/>\n| tumejadili mambo mengi kama alivyosema mwenyewe<br \/>\n| ninalotaka kuliweka msisitizo<br \/>\n| ni lile linalohusu kukuza na kuimarisha<br \/>\n| uhusiano na ushirikiano kati ya mataifa yetu mawili<br \/>\n| na hili ndilo jambo la msingi kama alivyosema<br \/>\n| Tanzania na Kenya siyo tu majirani lakini ujirani wenyewe ni wa kindugu<br \/>\n| alisema pia kwam ukiangalia mikapa inayozunguka Kenya<br \/>\n| mpaka wao watanzania ndio mkubwa kuliko mipaka ya nchi nyingine zote<br \/>\n| lakini kwenye mpaka huu<br \/>\n| wale wanaoishi mipakani wako Tanzania wako Kenya nao wote ni ndugu<br \/>\n| kwahiyo uhusiano wetu ni wa kindugu<br \/>\n| kama mnavofahamu nchi zetu mbili siyo tu majirani kama nilivyosema ni marafiki na ndugu<br \/>\n| na kutokana na urafiki tulio nao<br \/>\n| tumewezesha kukuza ushirikiano wa kiuchumi<br \/>\n| k.f. wakati wa mazungumzo yetu nimemuarifu kaka yangu Rais Kenyatta kuwa<br \/>\n| Kenya inashika nafasi ya tano kuwa uwekezaji wa ndani ya nchi ya Tanzania<br \/>\n| ikitanguliwa na mataifa mengi kutoka nje<br \/>\n| lakini ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki<br \/>\n| Kenya ni ya kwanza na ulimwenguni inashika nafasi ya tano<br \/>\n| amapo imewekeza miradi 513 ya thamani ya USD 1.7 bilioni<br \/>\n| ambayo imetoa ajira zipatazo 51 000 za watanzania<br \/>\n| aidha, zipo kampuni 30 za Tanzania ambazo zimewekeza<br \/>\n| mtaji ndani ya Kenya wenye thamani ya Ksh 19.33 bilioni<br \/>\n| na kutoa ajira wa watu 2600 na kama 50 hivi<br \/>\n| lakini nikaweka ahadi kwamba<br \/>\n| Tanzania sasa tutakuja kwa nguvu yote Kenya<br \/>\n| kuja kuwekeza, ili kukuza&#8230; kukuza ule ujazo wa biashara au \/volume of trade\/<br \/>\n| lakini mbali na uwekezaji nchi zetu mbili<br \/>\n| pia ni wadau wakubwa wa biashara ambapo kwenye miaka mitano iliyopita<br \/>\n| wastani wa biashara ni Tsh 1 trilioni au USD 450 milioni<br \/>\n| ambayo siyo kubwa na tumeweka ahadi kuikuza<br \/>\n| hivi basi mazungumzo yetu tumekubaliana<br \/>\n| uhusu namna ya kukuza biashara na uwekezaji kati yetu<br \/>\n| kama mnavyofahamu nchi zetu bado zina fursa nyingi sana<br \/>\n| ikiwemo kwenye maswala ya kilimo, viwanda, uvuvi, ufugaji na utalii<br \/>\n| tuna fursa kubwa sana, Mungu ametupendelea<br \/>\n| sasa tunakwenda kuzitumia fursa hizi kukuza biashara kati yetu<br \/>\n| lakini kati yetu na mataifa ya nje<br \/>\n| lakini kwa lengo la kukuza biashara pia<br \/>\n| na uwekezaji kati yetu, tumekubaliana<br \/>\n| kuendelea kushughulikia baadhi ya changamoto<br \/>\n| hususan vikwazo visivyo vya kodi<br \/>\n| ambavo vinatokea katika mipaka yetu<br \/>\n| tumekubaliana kwamba hivyo sasa vikaondoke<br \/>\n| na kwa pamoja tumeitaka tume yetu ya ushirikiano baina ya Kenya na Tanzania<br \/>\n| iwe inakaa na kutoa suluhu ya vikwazo vinavyojitokeza sasa hivi na halafu<br \/>\n| ili vikwazo hivi visiwepo<br \/>\n| lakini jingine aliloliingiza Mh. Rais na mimi nakubaliana nalo<br \/>\n| ni kuwa mawaziri wetu wa afya kukaa<br \/>\n| na kuangalia kurahisisha mfumo wa kuingia na kuchekiwa<br \/>\n| kwenye mambo haya yaliyoingia ya Covid au Corona<br \/>\n| watu wetu wapate huduma za haraka<br \/>\n| kupima, kuchekiwa ili waweze kupita na biashara ziendelee<br \/>\n| ndugu zangu wanahabari<br \/>\n| mbali na ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji kwenye mazungumzo yetu<br \/>\n| na Mh. Rais Kenyatta tumejadiliana pia kuhusu namna kutekeleza miradi yetu ya kimkakati<br \/>\n| miradi inayohisi usafiri na usafirishaji wa watu na bidhaa<br \/>\n| lakini pia, jinsi ya kupata nishati,<br \/>\n| umeme au gesi kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine<br \/>\n| una hiyo miradi, mmoja tulishasaini mkataba leo<br \/>\n| tunachokwenda kufanya ni kusimamia utekelezaji<br \/>\n| lakini pia kuna mmoja ambao unaendelea<br \/>\n| mazungumzo yako karibu kumalizika tuta&#8230;<br \/>\n| nitumie lugha ya Mh. Rais tuta\/weka kidole\/ hivi karibuni<br \/>\n| lakini pia na mwengine tuko kwenye mazungumzo kuumaliza<br \/>\n| tumegusia pia swala la ujenzi wa bomba la kusafirishia gesi kutoka Daressalaam hadi Mombasa<br \/>\n| huu ni mradi wa muda mrefu<br \/>\n| tunashukuru leo tume\/weka kidole\/<br \/>\n| na kilichobaki ni utekelezaji tutakwenda kuusimamia<br \/>\n| maswala mengine ni maswala ya kawaida ambayo tumezungumza<br \/>\n| na tumejadiliana kuhusu maswala ya ushirikiano kimataifa<br \/>\n| hususan namna kujiimarisha au kuimarisha Jumuiya yetu Afrika Mashariki<br \/>\n| ikiwemo kuzihimiza nchi wanachama kulipa michango yake<br \/>\n| hili nalo ni jambo ambalo linatusumbua kidogo ndani ya Jumuiya<br \/>\n| kwahiyo nalo tumesema tuhimizane tulipe michango ili Jumuiya iweze kusimama vizuri<br \/>\n| lakini pia kuna maswala mengine ya mipakani ameyazungumza<br \/>\n| na maswala mengine madogo madogo ambayo tumezee<br \/>\n| tusingekwenda<sup><a href=\"#footnote_0_2479\" id=\"identifier_0_2479\" class=\"footnote-link footnote-identifier-link\" title=\"\u539f\u8bdd\u4e3atusitakwenda\">1<\/a><\/sup> kukaa na kuyafanyia kazi<br \/>\n| mwisho ni kwa taarifa yenu waandishi wa habari kwamba<br \/>\n| mwaka huu ifikapo mwezi wa 12 Disemba<br \/>\n| Tanzania tunatimiza miaka 60 ya Uhuru wetu<br \/>\n| na hivyo nimetoa mwaliko rasmi kwa Rais Uhuru Kenya<br \/>\n| awe mgeni rasmi katika maadhimisho yale ya miaka 60 ya Uhuru wetu<br \/>\n| kwahiyo hayo ndiyo ambayo mpaka sasa hivi tumezungumza na kakangu<br \/>\n| na kweli nataka niseme<br \/>\n| mimi na ujumbe wangu tunajihisi tuko nyumbani<br \/>\n[ahsante]<br \/>\n| ahsateni sana<br \/>\n| ahsante sana<\/p>\n<ol class=\"footnotes\"><li id=\"footnote_0_2479\" class=\"footnote\">\u539f\u8bdd\u4e3atusitakwenda<span class=\"footnote-back-link-wrapper\"> [<a href=\"#identifier_0_2479\" class=\"footnote-link footnote-back-link\">&#8617;<\/a>]<\/span><\/li><\/ol>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>2021\/05\/04 Nairobi \u4e0b\u8f7d\uff1a\u5899\u5916 |Nakushukuru Mh. Rais. | Mh. Rais Uhuru Kenyatta wa\u00a0 Jamhuri ya Kenya | waheshimiwa viongozi wa Tanzania na Kenya mliopo hapa | ndugu wanahabari, mabibi na mabwana | nianze kwanza kumshukuru kaka yangu Rais Kenyatta | kwa kunialika kuja kutembelea nchini kwake<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":[],"categories":[1],"tags":[],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2479"}],"collection":[{"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=2479"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2479\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=2479"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=2479"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/yellingstone.info\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=2479"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}