Mji mkuu wa Kenya, Nairobi una sifa ya kuwa kati ya miji michangamfu sana duniani na baada ya kukaa hapa kwa muda, nimepatana na watu aina mbali mbali ambao wameonyesha hamu ya kuelewa hali na maisha ya nitokako. Hata hivyo hivi karibuni, wengi wamekuwa na maswali chungu nzima kuhusu matukio yanayoangaziwa sana huko Hong Kong. Kinachonishangaza mno kama raia wa jamuhuri ya Uchina ni taswira moja tu potovu kama dola jekundu na la kimla. Taswira hii ni ya kutatanisha kwasababu haitilii maanani muktadha wa historia ya Hong Kong na maeneo mengineo kwa uwiano wa Uchina.
Usiangae kwani makala hii kwa ukamilivu imeandika kwa lugha ya Kiingereza. Siku nyingine ningeandika kuanzia Kiswahili.
…