朴树《猎户星座》

王广燕在微信号《艺绽》上介绍了朴树在后海街头为路人唱歌

因为非常感动,就把歌词随手翻译成了斯语。

unakumbuka we – giza ya usiku ule
你还记得吗 那时的夜晚
itutandikiavyo ikija isiyo na maneno
是如何降临的 什么都不说
kama itokavyo hewani kwa taratibu
像来自天空
chepesi vile – kichomi kwenye vidole
轻如指尖的触痛
je kweli umepata maisha utarajiayo
你是否得到了 期待的人生
sauti za ufukwe ndotoni mwako
梦里的海潮声
zikukimbiavyo kati ya vidole vyako
他们又如何从 指缝中滑过
vikali vile – vya upepo ukishambuliacho
像吹在旷野里的风
upendo umemea pa kudumu
情长
ukapevuka, ukakua, ukakunyaa
飘黄
muda si muda utaratibu na haraka
静悄悄的时光
alfajiri hata jioni
清晨 日暮
upi ndipo nitakapo kupakaa
何处是我的归宿
dunia imo mwa kungugu
世界在雾中
wakisema watu njooni
那些人说着 来吧
wakawa hawapatikani
就不见了
kamwe siuoni kwa ukamili
从未看清过
huo mzingile
这一座迷宫
na njia zote nilizokwenda kinyume
所有走错的路口
wale watu waliofariki
那些死去的人
wakaangaa hewani usiku
停留在夜空
ndo wao wakuangazia taa
为你点起了灯
mara uruke kwenye upepo
有时你乘起风
kwengine ukazame
有时你沉没
penye wa manane pakiwa na upinde
有时午夜有彩虹
mara uanze kuimba
有时你唱起歌
mara unyamaze kimya
有时你沉默
ukiangalia angaa
有时你望着天空

 

ynshen