K2ga的RIP JPM

2021年3月17日,坦桑尼亚总统马古富力心脏病抢救无效去世。第二天,很多坦桑的音乐家给他写歌,给我印象最深的是当天晚上K2ga上传的《RIP JPM》,我录了一下歌词。

链接:墙外墙内

Tanzania
|- 坦桑尼亚
Ni wewe, shujaa wetu
|- 是你,我们的英雄
Ni wewe, jasiri wetu
|- 是你,我们的勇士
Ni wewe, ulotupa nuru Watanzania
|- 是你,把光带给坦桑尼亚人
Kamanda wetu
|- 我们的指挥官
Ni wewe, shujaa wetu
|- 是你,我们的英雄
Ni wewe, jasiri wetu
|- 是你,我们的勇士
Ni wewe, ulotuonyesha njia Watanzania
|- 是你,为我们坦桑尼亚人指引了道路
Kamanda wetu
|- 我们的指挥官
Umetutoa kwenye giza,
|- 你把我们从阴暗中拉出来
Ukatuvuta mikono, ukatuleta kwenye taa
|- 你拉着我们的手,把我们带到有光的地方
Na ukatukogesha,
|- 你洗涤了我们
Na sa(s)a tupendeze tena,
|- 让现在的我们让人欢喜
Tunang’aa ng’aa.
|- 我们熠熠生光
Miaka mitano ikapita,
|- 五年过去了
Na mingine tukakupa we,
|- 我们又给你了五年
Imani yetu, furaha yetu.
|- 我们的信任,我们的欢欣
Ukiongoza Tanzania.
|- 你引导坦桑尼亚的时候
Ulipokuja ulituambia
|- 你来的时候对我们说
“Hapa kazi tu!” tulisisitizia
|- “这里只有工作” 我们也这么重视了
Umeondoka, umetuacha.
|- 但你走了,你离开了我们
Kimya kimya hata kutuambia hapa(na)
|- 静静地走了,甚至和我们说一句也没有
Bendera imetulia
|- 国旗静静地不动
Wananchi tunakulilia we
|- 民众们都在为你而哭泣
Viongozi wamejiinamia
|- 领袖们都弯下腰
Hatuna la kufanya
|- 我们没有什么可以做的了
Mungu keshaamua.
|- 神已经这么决定了
Ndiyo wewe
|- 就是你
Ni wewe, ni wewe
|- 是你,是你
Magufuli tunakulilia.
|- 马古富力,我们在为你哭泣
Baba ni wewe
|- 你是国家的父亲
Ni wewe, ni wewe
|- 是你,是你
We ulotuacha peke yetu Tanzania
|- 是你这么丢下我们,让坦桑尼亚独自在这里
Tulikuita chuma, shujaa,
|- 我们叫你钢铁,叫你英雄
Mkombozi wa wanyonge
|- 叫你受难者的拯救者
Tena uliweka njia pasipokuwa na njia
|- 并且你在没有路的地方建出了路
Viongozi wabovu majipu ukayatumbua
|- 腐败的领导们,是你将他们的毒脓捅破
Ukaweka nguvu nchi ipate kukua
|- 你让国家有力量自己增强
Hakuna kama wewe, nani asiyekujua
|- 没有像你一样的人,有谁不知道你
Hivi mnakumbuka juzi tu Dodoma aliapa (juzi tu)
|- 你们还很清楚地记得,就在不久前的多多马
Kwamba atashika miaka mitano tuliyompatia
|- 说是他会再在干五年,我们给他的五年
Ndo kwanza miezi sasa hata mwaka mmoja haujafika
|- 现在才过了几个月,连一年还都没到
Mama Samia ametangaza,
|- 副总统萨米亚广播的时候,说
Raisi Magufuli ametangulia
|- 马古富力总统已经先走了
Ndiyo wewe, ni wewe, (baba we x3)
|- 只有你,是你(国父x3)
Ni wewe Magufuli tunakulilia
|- 是你,马古富力,我们为你哭泣
Tutakukumbuka sana, baba ni wewe,
|- 我们会记住你的,国父
Ni wewe, ni wewe
|- 是你,是你
We ulotuacha peke yetu Tanzania
|- 是你这么丢下我们,让坦桑尼亚独自在这里
Tanzania,tunakulilia (baba we x3)
|- 坦桑尼亚,我们为你哭泣(国父x3)
Ni wewe, shujaa wetu
|- 是你,我们的英雄
Ni wewe, jasiri wetu
|- 是你,我们的勇士
Ni wewe, tutakulilia, kamanda wetu
|- 是你,我们会为你哭泣,我们的指挥官

 

ynshen